Tuesday 21 February 2017

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI WILAYANI LUSHOTO ILIKUWA HIVI ALIPOWASILIA,,

 PICHANI mkono wa kushoto ni Naibu waziri wa maji na Umwagiliaji,Isaack Kamwele juzi akisalimiana na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Lushoto,Makwega Kazimbaya mkono wa kulia ambaye amevaa suti nyeusi na shati jeupe mara baada ya kuwasili ofisi ya mkuu wa wilaya ya Lushoto iliyopo mkoani Tanga.
 Naibu waziri wa maji akiwasilia na watendaji mbalimbali wa halmashauri ya Lushoto na Bumbuli mkoani Tanga.

 Zoezi la kusalimiana na viongozi wa halmashauri ya Lushoto na Bumbuli.
Naibu waziri wa maji na umwagiliaji mkono wa kulia akiwa na mbungu wa jimbo la Lushoto,Rashid Shangazi Bozinia kushoto mara baada ya mapokezi wakielekea ofisi ya mkuu wa wilaya kwa taarifa ya ziara yake.

No comments:

Post a Comment