Monday 2 April 2018

Mashindiano ya mbio za 'Tanga City Marathoni Nusu 2018.ilikuwa hivi,,,

 Pichani wa pili mkono wa kushoto ni mgeni rasmi wa mashindano hayo,Mstahiki meya wa jiji la Tanga,Mustafa Selebossmkono wake wa kushoto ni mwenyekiti wa chama cha riadha mkoa huo,akifuatia na kiongozi wa riadha taifa na mkono wa kushoto ni mdhamini kutoka Mkwabi.
 Mgeni rasmi akikabizi zawadi kwa washindi.
  Mgeni rasmi akikabizi zawadi kwa washindi.
 Mshindi kwa upande wa wanawake.
 Mkono wa kulia ni mgeni rasmi meya wa jiji la Tanga mara baada ya kukimbia kilometa tano za kujifurahisha akipongezwa na mwenyekiti wa chama cha riadha mkoa huo wa pili katikatia,Elimina Muro na mkono wa kushoto ni kiongozi wa chama cha riadha wilaya ya Tanga.
 Washiriki wa mbio za kilometa tano wakijiandaa.
  Washiriki wa mbio za kilometa tano wakijiandaa.wakiongozwa na meya wa jiji la Tanga na katibu tawala wa mkoa huo Zena Saidi ambaye amevaa kofia nyeupe na suruali ya bluu.
Washiriki wa mbio kilometa tano wakianza mbio hizo za kujifurahisha.

No comments:

Post a Comment