Tuesday, 5 July 2022

ABDURHAMAN AJITOKEZA KUCHUKUA FOMU KUWANIA NAFASI YA UENYEKITI WA CCM MKOA WA TANGA,,




 Mkono wa kulia ni Mgombea nafasi ya mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Tanga,Rajabu Abdurhaman leo ambaye ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilayani Pangani akiwa ofisi za CCM mkoa wa Tanga akikabidhiwa fomu na Katibu msaidizi wa CCM Mkoa wa Tanga,Kumotola Raulence.



Pichani ni Mgombea nafasi ya mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Tanga,Rajabu Abdurhaman leo ambaye ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilayani Pangani akiwa ofisi za CCM mkoa wa Tanga.





Mkono wa kushoto ambaye amekaa ni Katibu msaidizi wa chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Tanga,Kumotola Raulence. akimpa maelekezo Mgombea nafasi ya Uenyekiti wa CCM mkoa huo,Rajabu Abdurhaman leo ambaye ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilayani Pangani akiwa ofisi za CCM mkoa wa Tanga.



  Mkono wa kulia ni Mgombea nafasi ya mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Tanga,Rajabu Abdurhaman leo ambaye ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilayani Pangani akiwa ofisi za CCM mkoa wa Tanga akisaini vitabu kabla ya kuchukua fomu na kushoto ni Katibu msaidizi wa CCM Mkoa wa Tanga,Kumotola Raulence.

No comments:

Post a Comment