Pichani ni Afisa kutoka ofisi ya Kamishna msaidizi wa ardhi Mkoa wa Tanga. Aidan Kumburu leo akitoa elimu kwa wananchi wanaotembelea katika maonyesho ya siku saba ya wiki ya sheria yanayofanyika katika viwanja vya Tanga Uridhi vilivyopo jijini Tanga.
NA SOPHIA WAKATI,TANGA
OFISI ya kamishna msaidizi wa ardhi mkoani Tanga,mwaka wa fedha 2022-2023 imefanikiwa kukamilisha hati za umiliki wa ardhi jumla ya 500 kwa ajili ya kuwawezesha wananchi kutambulika kuwa wamiliki halali.
Hata hivyo,Pia imewata wananchi wa Jiji la Tanga kuona umuhimu wa kuchukua hati za umiliki wa ardhi hatua ambayo itawawezesha kutambulisha maeneo wanayomiliki ikiwa ni pamoja na kuinua kipato kiuchumi.
Kamishna msaidizi wa ardhi Mkoa wa Tanga.Aidan Kumburu ametoa kauri hiyo jana wakati akitoa elimu katika maonyesho ya siku saba ya wiki ya sheria yanayofanyika katika viwanja vya Tanga Uridhi vilivyopo jijini hapo.

Alisema kuwa kuna kila sababu wakazi wa Jiji hilo kuona umuhimu wa kupata hati miliki zao za kumiliki ardhi ili kuondoa changamoto baada ambazo zinaweza kujitokeza pindi unapotokea mgogoro.
Kumburu ambaye alihudhuria Wiki ya Sheria inayoendelea Jijini Tanga alisema,mpaka sasa jumla ya hati 500 za umiliki wa ardhi zimeshasainiwa huku 150 zikiwa zimechukuliwa na 350 wahusika bado hawajafika kuzichukua.
Aidha,alibainisha kueleza kwamba kwa mwananchi kupata hati kuna michakato mingi ya kupitia na kwamba wapo waliokamilisha taratibu na cha kushangaza hawajafika kuzichukua.
Kumburu alitumia nafasi hiyo kwa kutoa wito kwa wananchi hao wa Jiji la Tanga kutumia wiki ya sheria kufika kwa wahusika kwa ajili ya kuchukua hati zao ili kuweza kunufaika na shughuli za kiuchumi.
"Hati hizi zina manufaa makubwa kwa wananchi,pindi akitaja baadhi yake kuwa ni kuongeza uchumi wao,kutambulisha umiliki na mambo mengine ya msingi.'alisema afisa huyo wa Ardhi Aidan.
Aidan aliongeza kusema kuwa wiki ya sheria ikiweza kutumika vizuri wananchi wataelimishwa kuhusu kanuni za ardhi, sera na sheria.
Kwa upande mwingine Afisa huyo Aidan alisema kuwa, wiki ya sheria itahusisha wananchi katika masuala ya uratibu na usimamizi wa maduhuri ya serikali kupitia rasilimali ardhi.
Mwisho.Kumburu ambaye alihudhuria Wiki ya Sheria inayoendelea Jijini Tanga alisema,mpaka sasa jumla ya hati 500 za umiliki wa ardhi zimeshasainiwa huku 150 zikiwa zimechukuliwa na 350 wahusika bado hawajafika kuzichukua.
Aidha,alibainisha kueleza kwamba kwa mwananchi kupata hati kuna michakato mingi ya kupitia na kwamba wapo waliokamilisha taratibu na cha kushangaza hawajafika kuzichukua.
Kumburu alitumia nafasi hiyo kwa kutoa wito kwa wananchi hao wa Jiji la Tanga kutumia wiki ya sheria kufika kwa wahusika kwa ajili ya kuchukua hati zao ili kuweza kunufaika na shughuli za kiuchumi.
"Hati hizi zina manufaa makubwa kwa wananchi,pindi akitaja baadhi yake kuwa ni kuongeza uchumi wao,kutambulisha umiliki na mambo mengine ya msingi.'alisema afisa huyo wa Ardhi Aidan.
Aidan aliongeza kusema kuwa wiki ya sheria ikiweza kutumika vizuri wananchi wataelimishwa kuhusu kanuni za ardhi, sera na sheria.
Kwa upande mwingine Afisa huyo Aidan alisema kuwa, wiki ya sheria itahusisha wananchi katika masuala ya uratibu na usimamizi wa maduhuri ya serikali kupitia rasilimali ardhi.
Pichani ni Afisa Mchunguzi wa Takukuru mkoa wa Tanga,Khadija Luwongo viwanja vya Tanga Urdhi jijini Tanga ambapo amesema watatumia maonyesho hayo kuelimisha wananchi mpango mpya wa ''TAKUKURU -RAFIKI''
Pichani mkono wa kulia ni Afisa Mchunguzi wa Takukuru mkoa wa Tanga,Khadija Luwongo akiwa viwanja vya Tanga Urdhi jijini Tanga akijibu maswali kutoka mzee Shuli Omari mkazi wa Pande aliyetaka kujua ni vigezo gani vinatumika kwa jamii kupata ajira TAKUKURU.
OFISI ya Taifa ya Mwendesha Mashtaka ya Serikali Mkoani Tanga imesema kwamba itatumia wiki ya sheria kutoa elimu kwa wananchi kujua kazi zinazofanywa na ofisi ya mwanasheria mkuu ili kuweza kupata haki.
Hata hivyo,amezitaja miongoni mwa kesi zinazopokelewa kwa wingi mkoani hapo ni za madawa ya kulevya,ukatili wa kijinsia ikiwemo ulawiti na ubakaji dhidi ya watoto.
Wakili wa Serikali kutoka Ofisi ya Taifa Mwendesha wa Mashtaka Mkoani Tanga,Lucky Kaguo ameyasema hayo wakati akizungumza na wanafunzi wa shule za Sekondari na Msingi za Jijini Tanga waliotembelea Banda hilo kujua taratibu za kufungua kesi na umuhimu wa kutoa taarifa.

Katika maonyesho hayo viwanja vya Urithi Jijini humo ambako
kunaendelea huku alisema kuwa atatumia wiki hiyo kueleleza mkakati ambao wameupanga kuweza kukabiliana na vitendo hivyo vya ukatili.
Alisema kwamba mkakati wa kwanza ni kwamba wanakusudia kuandaa mpango wa kutoa elimu kwa wananchi na wanafunzi juu ya athari ya vitendo hivyo ili kuweza kuibadilisha jamii iondokana navyo
“Kwa mkoa huu tunapata shida kwenye makosa ya jinai aina mbili madawa ya kulevya na unyanyasaji wa kijinsia ubakaji na ulawiti makosa ambayo yameshamiri sana kwa mkoa wa Tanga “Alisema
Aidha alisema kutokana na uwepo wa hali hiyo wanaandaa mpango wa kuzunguka kwenye shule za msingi na sekondari ikiwemo kukutana na wanafunzi ikiwemo wananchi kuwaeleza iumuhimu wa kutoa taarifa za unyanyasaji unapotokea na wanapoona watu wanauza dawa na wanapata marejesho chanya suala hilo na bado linaendelea kufanyiwa kazi
Hata hivyo alisema kwamba wameshiriki kwenye maonyesho hayo ya wiki ya sheria kutoa elimu kwa wanafunzi na wananchi kwa kutatua matatizo yao na kuwaleta wananchi kuhusu ofisi hizo na kueleza majukumu yao na kutatua matatizo yao.
Alisema pia kuwaeleza ofisi hizo na umuhimu wake katika mashauri
wanayopalekwa na wananchi huku wakieleza jitihada za serikali katika kutatua mashauri yake kwa nia ya usuluhihi badala ya njia ya mahakama
mwisho
Pichani mkono wa kulia ni Mwenyekiti wa chama cha Mawakili wa kujitegemea mkoani Tanga,Tumain Bakari akitoa elimu kwa kuwataka wanachuo cha Masai kuwadichua watu waojihusisha na vitendo vya ukatili kwa watoto.
Pichani mkono wa kulia ni Afisa Mchunguzi wa Takukuru mkoa wa Tanga,Khadija Luwongo akiwa viwanja vya Tanga Urdhi jijini Tanga akijibu maswali kutoka wanafunzi wa shule ya Darajani.
Pichani mkono wa kulia ni Mtendaji wa Mahakama kuu kanda ya Tanga,Humphrey Paya akiwa katika banda la kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU akimshauri kitu afisa Mchunguzi wa Takukuru mkoani hapo,Frenk Mapunda ambaye amesimama mkono wa kushoto.
Pichani mkono wa kushoto ni mwanasheria wa chama cha mawakili mkoa wa Tanga (TLS),Erick Ndwella akitoa elimu juu ya sheria ya miradhi ya babu ambapo amesema wahusika ni wale wa karibu na marehemu kwa wanachuo cha Masai kilichopo jijini Tanga,
No comments:
Post a Comment