Wednesday, 25 June 2014

BANDA LA BODI YA MKONGE KATIKA MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA 2014

Pichani ni chupa ya asali na sukari iliyoibuliwa kupitia shina la mkonge na watafiti wa bodi ya ofisi hiyo zikiwa kwenye maonyesho ya biashara.

No comments:

Post a Comment