Friday, 27 June 2014

Kati kati ambaye amevaa fula ya mistari ya bluu na njano ni meneja wa shirika la nyumba mkoa wa tanga,Isaya Mshamba akijitambulisha kwa viongozi wa wiki ya serikali za mitaa kabla ya kuanza ziara ya kutembelea mradi huo wa nyumba 40 zilizojengwa halmashauri ya mkinga,mkono wake wa kulia ni makamu mwenyekiti halmashauri ya moshi,Evarist Mombori na kushoto ni kaimu mkurugenzi na afisa maendeleo halmashauri ya Moshi,Samson Sarakikya.   .

No comments:

Post a Comment