Sunday, 19 July 2015

UCHAGUZI WA KLABU YA COASTAL UNION 2015 ULIKUWA HIVI,

Wanachama wakionyesha kadi zao mpya kabla ya uchaguzi huo kuanza.
Aliyesimama katikati ni mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi kutoka TFF,Alloyce Komba akitoa ufafanuzi kwa wanachama kabla ya kuanza zoezi hilo.
Wanachama wakiwa kwenye zoezi la kupiga kura,
Picha ni aliyekuwa mwenyekiti wa kilabu ya Coastal Union,Hemed Hilal akipiga kura kuwachagua viongo wapya,
Pichani ni msimamizi wa uchagu wa Coastal Union kutoka TFF,Eliud Mvella akielezea changamoto zinazo tafuna vilabu vya soka na kusababisha kushuka daraja ikiwemo migogoro na jinsi TFF ilivyojipanga kuzitatua.

No comments:

Post a Comment