Monday, 2 October 2017

MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2017 JIJINI TANGA ILIKUWA HIVI,,



 Pichani ni vijana wakijiandaa na mapokezi ya mwenge wa Uhuru 2017 kabla ya kuwasili katika kijiji cha Mpirani jijini Tanga,
 Pichani ambaye ameshika karatasi ni mkuu wa wilaya ya Mkinga,Mack Yona kabla ya kukakabidhi mwenge wa Uhuru akiwasilisha taarifa yake.



 Pichani mkono wa kushoto ni wakimbiza mwenge wa Uhuru kitaifa,wakisalimiana na viongozi mbalimbali wa halmashauri ya jiji la Tanga.
 Pichani katikati ni kiongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru 2017 mara baada ya kuwasili eneo la mapokezi Mpirani jijini Tanga akivalishwa skafu na vijana.
Pichani katikati ambaye ameshika karatasi ni mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akisoma taarifa,akifuatiwa na kiongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa,Amour Hamad Amour.

No comments:

Post a Comment