Pichani katikati mwanamke ambaye amevaa mtandio wa mweusi ni Jaji Mfawidhi Mahakama kuu kanda ya Tanga,Latifa Mansoor akiwa kwenye banda la mahakama akitoa ufafanuzi ya kesi ya mgogoro wa ardhi kwa wananchi wa kata ya Majengo ammbao wameongozwa na Diwani wa kata hiyo Jari Mohame aliyevaa shati jeusi kulia wakimsikiliza jaji maonyesho yanayoendelea viwanja vya Uridhi jijini Tanga.
Pichani ni Mwenyekiti wa chama cha wanasheria wa kujitegemea mkoani Tanga (TLS)Tumaini Bakari akiwa katika maonyesho ya wiki ya sheria akiwataka wananchi wenye kesi mahakaman kukitumia chama hicho cha wanasheria ili waweze kupata haki.
Pichani mkono wa kulia mwanamke ambaye amevaa mtandio wa mweusi ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu kanda ya Tanga,Latifa Mansoor akimshauri Kada wa CCM aliyewahi kuwania kitu kuteuliwa kugombea urais wa mwaka 2015 ndani ya chama hicho,Mzamir Kalokola mkono wa kushoto,aliyetembelea banda la mahakama viwanja vya Uridhi jijini Tanga.
No comments:
Post a Comment