Sunday, 29 June 2025

ZOEZI LA SHEKAONEKA KUCHUKUA FOMU KUWANIA KITI CHA UBUNGE KOROGWE VIJIJINI LILIKUWA HIVI,,,,,,,

Picha ni Mwenyekiti mstaafu wa UVCCM mkoa wa Mbeya mjini na Katibu elimu malezi na mazingira mkoa wa Mbeya,Ramadhani Mahmud Shekaoneka akichukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge kwa Karibu wa CCM wilaya ya Korogwe vijijini,Safina Alfred Nchinbi ambaye ni (mwanamke mkono wa kushoto). 

 


Picha ni Mwenyekiti mstaafu wa UVCCM mkoa wa Mbeya mjini na Katibu elimu malezi na mazingira mkoa wa Mbeya,Ramadhani Mahmud Shekaoneka akisaini mara baada ya kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge.
Picha ni Mwenyekiti mstaafu wa UVCCM mkoa wa Mbeya mjini na Katibu elimu malezi na mazingira mkoa wa Mbeya,Ramadhani Mahmud Shekaoneka akichukua mara baada ya kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge nje ya ofisi hizi akionyeshwa kwa wasindikizaji wake.


Picha ni Mwenyekiti mstaafu wa UVCCM mkoa wa Mbeya mjini na Katibu elimu malezi na mazingira mkoa wa Mbeya,Ramadhani Mahmud Shekaoneka akichukua mara baada ya kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge nje ya ofisi hizi akionyeshwa kwa wasindikizaji wake na.akiwa na miongoni mwa wasindikizaji wake.


Picha ni Mwenyekiti mstaafu wa UVCCM mkoa wa Mbeya mjini na Katibu elimu malezi na mazingira mkoa wa Mbeya,Ramadhani Mahmud Shekaoneka mara baada ya kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge akipewa maelekezo na taratibu za chama hicho kwa Katibu wa CCM wilaya ya Korogwe vijijini,Safina Alfred Nchinbi ambaye ni (mwanamke mkono wa kushoto). 

 



No comments:

Post a Comment