Tuesday 17 June 2014

MENEJA WA NSSF AKIZUNGUMZIA MASHINDANO YA NSSF CUP YALIYOSHIRIKISHA WANAWAKE KATIKA MPIRA WA MIGUU.

Meneja wa NSSF mkoa wa Tanga,Frank Maduga akizungumzia lengo la mfuko huo kudhamini mashindano ya NSSF Cup kwa kada ya wanawake mkoani Tanga pia amewataka kujiunga ili kunufaika na mafao mbalimbali likiwemo la kuumia akiwa mchezoni

No comments:

Post a Comment