Pichani mkono wa Kulia ambaye amevaa baibui ni Mbunge viti maalum,Husna Shekiboko akifuatiwa na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Tanga,Dkt.Aisha Kigoda juzi akikabidhi printa kwa Mwenyekiti wa UWT wilaya,Tanga kwa niaba ya wabunge wenzake ambao hawapa pichani hafla iliyofanyika ukumbe wa ofisi za CCM mkoa wa Tanga.
No comments:
Post a Comment