Pichani ni miongoni mwa wananchi wakisaini nyaraka mbalimbali kukamilisha taratibu za kupokea ruzuku wanufaika mpango wa Tasaf.
Mkono wa kulia ni miongoni mwa maafisa wa kata hiyo akihakiki fedha kufanya malipo kwa wanufaika wa keshi zoezi lililofanyika ofisi ya kata ya Uasagara jijini Tanga,
Mkono wa kulia ni miongoni mwa maafisa wa kata hiyo akihakiki majina ya wanufaika mpango wa Tasaf ili kuweza kulipwa kwa fedha kwa njia ya mtandao.
No comments:
Post a Comment