Saturday, 8 October 2022

ZOEZI LA UHAKIKI KUWANIA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI CCM MKOA NA TAIFA,ILIKUWA HIVI MKOANI TANGA,,,

Pichani mkono wa kulia ni Miongoni mwa wasimaamizi wa usaili nafasi ya Halmashauri kuu ya taifa viti 15,Abasi Idd Mchumi ofisi ya CCM mka wa Tanga akitoa maelekezo kwa wagombea kuhusu nyaraka.
Pichani mkono wa kushoto ni mgombea nafasi ya Uenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga,Henry Shekifu akitetea nafasi yake na kulia ni mhakiki na Mchumi ofisi ya CCM mkoa wa Tanga,Abasi Idd.


Pichani mkono wa kushoto ni Mgombea nafasi ya Mjumbe halmashauri kuu YA ccm Taifa viti 15 Tanzania bara,Dk.Frank Mhilu,akihakikiwa na Mchumi Abasi Idd ukumbi wa ofisi za CCM mkoani Tanga.


Pichani mkono wa kushoto ni Diwani wa kata ya Chumbagen mgombea nafasi ya halmashauri kuu taifai,Ernest Kimaya akiwa kwenye zoezi la uhakiki kulia ni mhakiki Abasi Idd kutoka ofisi ya CCM mkoa wa Tanga, 
Pichani mkono wa kushoto ni Mgombea nafasi ya Mjumbe halmashauri kuu YA ccm Taifa viti 15 Tanzania bara,Dk.Frank Mhilu,akihakikiwa na Mchumi Abasi Idd ukumbi wa ofisi za CCM mkoani Tanga.

Pichani mkono wa kushoto ni Mgombea nafasi ya NEC Mkoa wa tanga Omari Mwasingo na mkono wa kulia ni mhakiki,Ramadhan Mwaupea kutoka ofisi ya CCM Mkoani Tanga.
Pichani mkono wa kushoto ni Mgombea nafasi ya Halmashauri kuu ya CCM taifa,Abdurahaman Shiloo akiwa katika zoezi la uhakiki. 

Pichani ni mgombea nafasi Halmashauri kuu ya CCM taifa viti 15,Najm Msenga akiwa kwenye zoezi la uhakiki,


Pichani kushoto ni mgombea nafasi ya halmashauri kuu CCM Taifa viti  15 baraBendera Shfkighenda akiwa kwenye zoezi la uhakiki.


Pichani ni mgombea nafasi ya halmashauri kuu mkoa wa Tanga,Athuman Lukoya akiwa kwenye zoezi la uhakiki.

Pichani kushoto ni mgombea nafasi ya Mjumbe halmashauri kuu taifa CCM viti 15,Imani Mtumbi akihakikiwa na Ramadhani Mwarupea.


Pichani kushoto ni mgombea nafasi ya Mjumbe halmashauri kuu taifa CCM viti 15,Imani Mtumbi akihakikiwa na Ramadhani Mwarupea.







Picha mbalimbali ni miongoni mwa wanachama wa CCM mkoani Tanga wakisubiri zoezi la uhakiki wa nafasi ndani ya CCM mkoani Tanga.
 

No comments:

Post a Comment