Monday, 21 November 2022

KOCHA DUCE AMESEMA MECHI AMBAZO WATAKOSA POINTI MASHINDANO YA SHIMUTA NI MAKOSA YA KUJISAHAU WACHEZAJI,,,



Picha ni Kocha wa Timu ya DUCE,Jacob Bigogo amesema wachezaji wake wamejiandaa vizuri kila idara katika mashinda ya SHIMUTA,alisema katika mashindano hayo kwa michezo ambayo watafungwa itakuwa ni makosa ya kujisahau wachezaji.

Amesema mechi yao dhidi ya Tanesco ambayo walifungwa 1-0,walitumia makosa ya wachezaji kufanya makosa kuto kuondoa mpira golini na kupelekea kutuadhibu.

''Timu ya Tanesco imetumia makosa ya wachezaji wangu kupata goli moja katika mashindano wametumia makosa na kusababisha kupoteza. 


Pichani ni Kikosi cha timu ya DUCE 

No comments:

Post a Comment