Pichani ambaye amesimama anazungumza ni Mwenyekiti wa chama cha waendesha bodaboda wilaya ya Tanga,Mohamedi Chande akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi Pikipiki aina ya Honiao kwa mmoja wa wanachama wake,
NA SOPHIA WAKATI,TANGA
CHAMA Cha Waendesha Bodaboda wilaya ya Tanga,kimeanza kutoa Mikopo ya pikipiki kwa Wanachama wake hatua ambayo imelenga kuwaongezea ufanisi kwenye utendaji kazi wao ili kuepuka changamoto ya kuingia mikataba na watu binafsi.
Hata hivyo,Mikopo ni Pikipiki kama kitendea kazi kikuu ambapo sasa bodaboda hao badala ya kukopeshwa mitaani kwa gharama kubwa watapata huduma hiyo kupitia chama chao.
Mwenyekiti wa chama cha waendesha bodaboda wilaya ya Tanga,Mohamedi Chande akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi Pikipiki aina ya Honiao kwa mmoja wa wanachama wake,

Alisema,kwamba lengo la kusaka wafadhili ni kutokana na kuwaondolea wananchama changamoto ya migogoro au kuporwa vyombo vya usafiri na watu binafsi na kukosa kipato.
Alisema kuwa pamoja na kuanza kupata Wadhamini chama chao kimefanikiwa kufikia hatua ya kukopeshana kwa wenye uhitaji lengo likiwa kuweza kuongeza uchumi wao.
"Mungu ametujalia kukopeshana, ukiacha halmashauri pia mdhamini binafsi amejitokeza"alisema Chande huku akiwasihi wanachama kufuata taratibu kuweza kukopeshesha ikiwemo kuwa na sifa ya mwanachama.
"Mungu ametujalia kukopeshana, ukiacha halmashauri pia mdhamini binafsi amejitokeza"alisema Chande huku akiwasihi wanachama kufuata taratibu kuweza kukopeshesha ikiwemo kuwa na sifa ya mwanachama.
Mwenyekiti Chande alibainisha kwamba kabla ya ujio wa wadhamini hao wanachama wake walikuwa wakikopa pikipiki mitaani kwa riba kubwa na kupelekea wengine kushindwa kulipa na kuingia kwenye migogoro.
''Pikipiki iliyotolewa ni aina Honiao muundo wa Haojoure yenye CC 125 ambapo dereva Azan wa kituo cha Bucha Nguvumali jijini hapo alikabidhiwa pikipiki hiyo kufanyia kazi kurejesha ndani ya mwaka mmoja.
Kupatikana kwa mkopo huo kupitia chama cha bodaboda wilaya ya Tanga, imeelezwa kuwa imetokana na ushirikiano, uaminifu na utulivu wao ndani ya chama chao ambapo sasa wameanza kula mafanikio.
Chande alisema pamoja na mkopo huo kuanza kutolewa ndani ya chama hicho, waendesha bodaboda wameshauriwa kutumia fursa za mikopo zinazopatikana katika halmashauri yao.
Hata hivyo,msisitizo umetolewa kwa wanachama wanaofanikiwa kukopa kuhakikisha wanatunza vyombo vya kazi wanavyopatiwa hatua ambayo itawawezesha kumudu kujikwamua kiuchumi.
Mwisho.

Mwenyekiti chama cha waendesha bodaboda wilaya ya Tanga,Mohamedi Chande katika kikao akisisitiza wanachama kufuata taratibu zilizopo ili kuweza kuwa na sifa za kuwezesha kukopa pikipiki ina kuongeza kipato
Pichani ambaye ameshika kipaza sauti ni miongoni mwa wadhamini akiwatoa hofu waendesha pikipiki na kuwataka kutumia fursa hiyo na kushukuru uongozi wa chama hicho kuwaunganisha na wanachama hao.
Pichani ambaye amesimama kushoto ni Afisa maendeleo wa halmashauri ya jiji la Tanga,akiwataka waendesha pikipiki kujitokeza kunufaika na mikopo ya serikal bila riba.
Pichani ni miongoni mwa wanachama wa chama cha bodaboda wilaya ya Tanga wakisikiliza taarifa mbalimbali kutoka kwa viongozi na wadhamini.
Pichani katikati ni mwanachama Azan mara baada ya kukabidhiwa pikipiki akitoka nje ya ukumbi huo.
Pichani ni Mwenyekiti wa chama cha waendesha bodaboda wilaya ya Tanga,Chande akiwaeleza wanachama kwa uongozi umejipanga kuhakikisha wanachama wanamiliki pikipiki ili kuweza kujikwamua kiuchumi.
No comments:
Post a Comment