Friday 29 September 2023

IFAHAMU LAPEE HOTEL JINSI ILIVYOJIPANGA KUTOA HUDUMA BORA KWA WAGENI,,,,,



Pichani ni hotel ya LAPEE HOTEL ikiyopo barabara ya tisa jijini Tanga.

LAPEE HOTEL inapatikana Mitaa ya Barabara tisa (9) Jijini Tanga, ikiwa ni Mwanachama wa Chama watu wenye biashara za Hotel ndani ya Halmashauri ya Jiji la Tanga.

Kimsingi, LAPE HOTEL imejipambanua kwenye Suala la utoaji huduma bora kwa Wateja hatua inayoendelea kuijengea heshima kwa Watu wa Kada mbalimbali.

Damian Mngara ni Mkurugenzi Mtendaji wa LAPEE HOTEL, anasema anajivunia Mandhari yenye Utulivu na Wafanyakazi wabobezi wa kuwahudumia Wateja wa aina mbalimbali mazingira ambayo yameiwezesha Hotel hiyo kuwa chaguo la Watu wengi wanaotembelea Jiji la Tanga.

Mngara anasema, kwa Mahitaji ya Chakula: Unapofika LAPEE HOTEL utapata lishe yenye ubora itakayokidhi haja yako itakayolingana na thamani halisi ya fedha yako.

Chakula cha Kasili na kile chenye mahadhi ya Watu wa Watu wa Tanga kinapatikana ndani ya LAPEE HOTEL.Sio tu kwa Chakula lakini pia kwa Malazi ni sehemu iliyo salama.

Wengi wamekimbilia LAPEE HOTEL je wewe unachelewa wapi? Karibu tukuhudumie Mteja kwetu thamani yake ni kubwa. Huduma zote za msingi zinapatikana bila usumbufu mtandao wa INTERNET unapatikana bila shida.

Ifanye LAPEE HOTEL kuwa kimbilio lako!. KARIBU SANA uwe Mwanafamilia katika upatikanaji huduma bora ufurahi mazingira tulivu yenye Usalama  wa hali ya juu.

Mwisho. 





















 

No comments:

Post a Comment