Friday 29 September 2023

LIFAHAMU DUKA BORA LA SAMANI ZA MAJUMBANI ZILIZO ZA KISASA HUKU BEI YAKE IKIWA RAFIKI,,,,,

Pichani ni Mfanyabiashara wa duka la vyombo vya jumla barabara tisa,Filbert Mgozi anayepatikana Maeneo ya Barabara tisa (9) Jijini Tanga na anajihughulisha na Uuzaji wa bidhaa za Majumbani hasa Vyombo vya Jikoni kwa bei iliyo rafiki.

Wengi wamefanikiwa kupendezesha Nyumba zao kupitia Duka hili ambapo bidhaa zake zimekuwa zikiuzwa kwa bei ya Jumla na ile ya Reajaraja. Karibu tukuhudumie!!

Katika Mahojiano yetu na mfanyabiashara,Mgozi amesema kwamba, amelazimika kufungua Biashara ya kuuza Vyombo ili kuwawezesha Watanzania walio wengi kupata bidhaa hizo kwa karibu ambapo anauza Vyombo vilivyo vya Kisasa huku bei yake ikilingana na thamani halisi ya fedha zako.

Tangu kufunguliwa kwa Duka hili Watu wengi wamekuwa wakifika kwa lengo la kupata bidhaa zenye ubora na zilizo za Kisasa huku wakifurahia kupata kile ambacho kiliwahi kuwepo kwenye Ndoto zao.






 Kwa mawasiliano zaidi upatikanaji bidhaa na popote ulipo tupo kupitia nama 0713 753665

No comments:

Post a Comment