Friday 29 September 2023

IFAHAMU NEW HOPE CEBTRE NI KITUO BORA SULUHISHO KWA MATATIZO YA MACHO NA HUDUMA YA MIWANI MBALIMBALI,,,

 Ifanye NEW HOPE CENTRE kuwa Mkombozi wako katika Suala zima la Ushauri na kutibu ya Macho, kupima Miwani na kununua Miwani yako. Huduma zote hizo zinapatikana kutoka kwa Daktari Frida Kassiane, mtaalam mbobezi aliweza kudumu kwenye eneo hilo kwa kipindi kirefu.

NEW HOPE CENTRE wanapatikana eneo ya Barabara ya nane (8) Jijini Tanga na kwa Siku za Kazi Ofisi zao ziko wazi kuanzia Saa mbili Asubuhi hadi Saa Kumi na mbili Jioni.

Jukumu la kuwahudumia Wateja wake linaendelea hadi Siku ya Jumamosi huku Jumapili wakienda mapumziko ya Wiki. Karibu Sana Dukani kwetu NEW HOPE CENTRE.

Kwa huduma zenye afya tembelea Dukani kwetu NEW HOPE CENTRE.Kwa Mawasiliano Zaidi utatupata kwa Nambari za Simu: 0718 17 21 68 / 0784 26 90 70.

Mwisho. 









 

No comments:

Post a Comment