Mkuu wa wilaya ya Lushoto,January akizungumzia mambo mbalimbali kabla ya kumkaribisha naibu waziri kuzungumza na watumishi wa halmashauri hiyo
Naibu waziri wa maji akiwa kwenye moja ya ziara yake ya kukagua miradi ya maji akiwa ametumia fimbo kupanda milima.
Katikati ambaye anaongea kwa ishara ni naibu waziri wa maji,akiwahutubia wananchi wa jimbo la Mlalo juu ya mkakati iliyowekwa na serikali kutatua kero mbalimbali ikiwemo zile za maji,afya.kushoto ni mbunge wa jimbo la Mlalo Rashid Shangazi na kulia ni mkuu wa wilaya hiyo,January Rugangika.
Pichani katikati ambaye amesimama ni mbunge wa jimbo la Mlalo,Rashid Shangazi akizungumza jitihada mbalimbali ambazo amefuatilia kutatua kero za wananchi,,mkono wa kulia ni naibu waziri wa maji na kushoto ni katibu wa CCM wilaya ya Lushoto,Ramadhani Mahanyu.
Pichani mkono wa kushoto ambaye anaongea kwa ishara ni naibu waziri wa maji akizungumza na wananchi wa Lushoto na mikakati iliyowekwa na serikali ya awamu ya tano katika kuondosha kero ya maji,
No comments:
Post a Comment