Mkurugenzi wa TAYODEA Devid akitoa taarifa kwa mkuu wa wilaya ya muheza kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Tanga,Martine Shigela kabla ya makabiziano ya vitendea kazi vya vijana ambao ni wanachama wa taasisi hiyo.
Katikati ni mkurugenzi wa taasisi ya TAYODEA,Devid Chanyegea akitoa maelezo kwa mgeni rasmi juu vifaa vyenye dhamani ya million 150 kwa ajili ya kununua vitendea kazi vya vijana ambao ni wanachama wa asasi hiyo.
Ambaye amevaa shati la kijani ni makamu mwenyekiti wa asasi ya TAYODEA,Kiama
Mkurugenzi akitoa maelezo lengo la kuanzishwa kwa Asasi hiyo ya TAYODEA WEKEZA
Miongoni mwa vifaa vilivyotolewa na TAYODEA kwa vijana.
Mgeni rasmi akishauri asasi hiyo kujikita kwa kupanua wigo wa kutoa elimu kupambana na madawa ya kulevya kwa kada hiyo ya vijana kupitia shirika lao.
Mkurugenzi wa TAYODEA,Devid amesema licha ya shirika kukabiliwa na changamoto mbalimbali katika kuwainua vijana kiuchumi limejipanga kutoa elimu zaidi kwa vijana ambao hawajakuwa na utayari wa kujiunga katika wilaya mbalimba.
No comments:
Post a Comment