Mkono wa kushoto ni mkuu wa shule ya sekondari St.Mary Mazinde juu wilayani Lushoto,St.Evetha na mwenyekiti wa bodi na viongozi wengini wakiwa kwenye kikao cha pamoja na wazazi wa wanafunzi wa shule hiyo wakijadili mambo mbalimbali.
Wazazi wakiwa kwenye kikao katika ukumbi wa shule hiyo.
No comments:
Post a Comment