Monday, 13 March 2017

UZINDUZI WA MAABARA YA KISASA YA FIZIKIA NA KEMIA YA SHULE YA SEKONDARI ST.MARY'S MAZINDE LUSHOTO ILIKUWA HIVI,,

 Pichani kati kati ni mdau wa maendeleo Mr.Omari Issa akikata utepe uzinduzi wa maabara ya kisasa masomo ya fizikia na kemia akiwa na viongozi mbalimbali.

 Baada ya kukata utepe,Mr.Omari ambaye ni mgeni rasmi akisoma maneno yaliyoandikwa katika uzinduzi huo.

 Pichani ni baadhi ya wanafunzi wa shuler ya sekondari St.Mary's Mazinde juu iliyopo wilayani Lushoto wakionyesha burudani kwa wageni waliohudhulia kwenye hafla hiyo ya uzinduzi.
 Baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo.
 Chumba cha maabara hiyo ya kisasa.



 Baadhi ya wanafunzi wakieleza mambo mbalimbali ambayo wamejifunza tangu kuanzishwa kwa maabara hiyo.
 Pichani ni mkuu wa shule hiyo,St.Evetha akisoma taarifa ya shule hiyo na kuwashukuru wadau ambao wamejitokeza kuchangia ujenzi wa maabara hiyo.
 Mwenyekiti wa bodi ya shule hiyo.
 Mkurugenzi wa halmashauri ya Lushoto,Kazimbaya Makwega akizungumzia matarajio na mafanikio ya upatikanaji wa maabara hiyo.
Pichani ni viongozi mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment