Pichani ni mkuu wa wilaya ya Korogwe,Mhandisi Robart Gabriel akigeuka mwalimu kuandika maswali matano kwa wanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Madago wilayani hapo ili kuweza kuwapima kama wanauwezo wa kuondokana na kufanya vibaya mitihani ya taifa ijayo.
Mkuu wa wilaya akiwapitia wanafunzi wanaofanya mtihani huo.
Hapa akitangaza dau la fedha kwa ambaye atafanikisha maswali hayo matano.
Pichani ni wanafunzi wakijifua na mtihani..
Wanafunzi,,
Wanafunzi wakiendelea na mitihani.,,,ambapo hata hivyo hakuna ambaye aliwezesha kupata.wote walikosa..
No comments:
Post a Comment