Sunday, 30 April 2017

TANGA UWASA IKIONYESHA MADAWA YA KUCHANGANYIA MAJI ILI KUYASAMBAZA KWA WANANCHI,,


 Pichani ni mratibu wa mazingira wa mamlaka ya Tanga-Uwasa,Ramadhani Nyambuka juzi Moe akiwaonyesha waandishi wa habari hawapo pichani madawa yanayotumika kuchanganyia maji ili kuyasambaza kwa wateja yatumike.
 Pichani ni maabara ya kuchanganya dawa. .
Pichani ni mratibu wa mazingira wa mamlaka ya Tanga-Uwasa,Ramadhani Nyambuka juzi Moe akiwaonyesha waandishi wa habari hawapo pichani maji kabla hayaja changanywa na jinsi yanavyochanganywa na kusambazwa kwa wateja .

No comments:

Post a Comment