Tuesday, 14 November 2017
IFAHAMU RUSHA ROHO RESTAURANT YENYE MAPISHI ASILI YA KISWAHILI ILIYOPO JIJINI TANGA,,
Pichani mkono wa kushoto mwanamke ni meneja wa RUSHA ROHO Restaurant,Hythum Yusuph mgahawa uliopo jijini Tanga jinsi unavyo ongoza kwa vyakula mchanganyiko mapishi ya kiswahili asilia,akiwa na kiongozi msaidizi wakitumia kutoa risiti kwa kutumia mashine.,
Pichani ni meneja wa RUSHA ROHO Restaurant,Hythum Yusuph akionyesha vyakula mbalimbali,
Pichani ni wahudumu wakiwa ndani ya RUSHA ROHO Restaurant wakiwa kwenye maeneo mbalimbali.
Vyakula vilivyopo ni Chai ya rangi,chai ya maziwa,kahawa,kahawa nyeusi,maziwa fresh, Juis pashen,juis ovakado,juis ukwaju,soda coca,soda pepsi,heltho,maji, Chapati,vitumbua,maandazi,donart,calmati,mayai,bajia za kunde,kachori,mihogo,viazi vitamu,magimbi,eggechop,kababu,caltess,spaceng roll,sambusa.
Wali maini,wali nyama,wali kuku,wali samaki,wali mbogamboga,,pilau nyama,pilau maini,pilau kuku,pilau samaki,ndizi kuku,ndizi maini,ndizi samaki,
Supu kuku,supu mbuzi,kuku rosti,mbuzi rosti,samaki rosti,rosti ngombe,samaki wa kukaanga,samaki wa kuchoma,kuku wa kukaanga,kuku sekelo,mishikaki,rosti maini,chips kuku,chips samaki,chips plons,.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment