Pichani ni mratibu wa mei mosi mkoani tanga,Ahmedi Ngereza akiwasilisha taarifa yake.
Pichani katikati ambaye amevaa suti nyeusi na miwani amesimama ni mgeni rasmi,mkuu wa mkoa wa Tanga,Martin Shigella akivitaka viwanda kuhakikisha kutoa fursa ya ajira kwa wazawa.
Pichani katikati ni mkuu wa mkoa akikagua mabanda,Martin Shigella na wakwanza mkono wa kulia ni mratibu Ngereza akimuongoza.
Watumishi wa Tanga Uwasa.
Watumishi wa jiji la tanga.
Watumishi wa jiji la Tanga.
Watumishi wa idara ya mahakama za mkoa wa Tanga wakifuatilia maandamano.
Timu ya Tanesco ikivutana na jiji la Tanga.
Timu ya jiji la Tanga.
Timu ya jiji la Tanga.
Tanesco wakiwaongozwa na kocha wao.
No comments:
Post a Comment