Wednesday, 27 August 2025

NJAMA ACHUKUA FOMU TUME YA UCHAGUZI INEC,,,

Msafara ,,Wananchi na wafanyabiashara wa bajaji na pikipiki wamsindikiza mgombea wa CCM kiti cha Ubunge jimbo la Korogwe mjini kuchukua fomu.

Msafara ukipita kata zote za jimbo la Korogwe mjini.
Picha katikati ni Mgombea kiti cha Ubunge jimbo la Korogwe Mjini,Charles Njama akionyesha fomu ya uteuzi baada ya kukabidhiwa katika ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi (INEC) Jimbo la Korogwe mjini mkoani Tanga.  

 











Friday, 11 July 2025

WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI WATAKIWA KUWA WAVUMILIVU,,

Picha katikati ambaye amesimama anazungumza kwa ishara ni Mwenyekiti wa CCM Korogwe Vijijini,Ally Waziri akiwataka wanaCCM waliotia nia ya kuwania Udiwani kuwa wavumilivu, kikao ambacho kilifanyika Ofisi za CCM Wilayani ya Korogwe mkoani Tanga.

 WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walitia nia ya kuwania Udiwani kupitia chama hicho tawala Jimbo Korogwe Vijijini,wametakiwa kuwa watulivu huku wakiwaamini viongozi wao katika kipindi hiki cha mchakato wa ndani wa uchaguzi unaoendelea kwa maelezo kuwa haki itatendeka.


Rai hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa CCM Korogwe Vijijini ,Ally Waziri kwenye kikao na wanaCCM waliotia nia ya kuwania Udiwani, kikao ambacho kilifanyika Ofisi za CCM Wilayani humo amhapo watia nia zaidi ya 100 kutoka Kata 29 waliweza kuhudhuria.

Waziri alisema, wakati mchakato wa uchaguzi wa ndani ukiendelea ni vyema watia nia wakaishi katika imani ya chama chao huku wakifuata kanuni,katiba na sheria na kwamba anayehisi ameshindwa kuyafuata hayo ni vyema akaandika barua kujiengua.

Waziri aliwaasa wale wenye tabia ya kwenda kinyume na taratibu za uchaguzi kwamba kwa yeyote atakayebainika hatua za kisheria hazitosita kuchukuliwa dhidi yake akisisitiza subira na mshikamano kwa dhumuni la kufanikisha uchaguzi mkuu. 
Mwisho.

Wednesday, 2 July 2025

MJUMBE MKUTANO MKUU CCM TAIFA,ASIA KINGONGO AMEJITOKEZA KUCHUKUWA NA KURUDISHA FOMU KUWANIA KITI CHA UDIWANI KWAMNDOLWA,,


 

Pichani mkono wa kulia mwanamke ni Mjumbe mkutano mkuu taifa,Mjumbe kamati ya wazazi utekelezaji Mkoa wa Tanga na katibu mwenezi tawi la Kwameta na katibu wa vijana kata ya Kwamndolwa,Asia Ally Kingongo akichukua fomu ya kuwania nafasi ya Udiwani kata ya Kwamndolwa kwa Katibu kata  ya Kwamndolwa iliyopo Korogwe Mjini,Samweli Mbuguje mkono wa kushoto ambaye ni mwanaume.

Picha ni Mjumbe mkutano mkuu CCM taifa,Mjumbe kamati ya wazazi utekelezaji Mkoa wa Tanga na katibu mwenezi wa CCM tawi la Kwameta na katibu wa vijana kata ya Kwamndolwa,Asia Ally Kingongo akichukua fomu ya kuwania nafasi ya Udiwani kata ya Kwamndolwa akionyesha fomu mara baada ya kuchukua nje ya ofisi ya CCM tawi la Kwameta.

Pichani ni Katibu kata  ya Kwamndolwa,Samweli Mbuguje mkono wa kushoto ambaye ni mwanaume.akikagua fomu ya Mjumbe wa mkutano mkuu taifa,Mjumbe kamati ya wazazi utekelezaji Mkoa wa Tanga na katibu Mwenezi CCM tawi la Kwameta na katibu wa vijana kata ya Kwamndolwa,Asia Ally Kingongo alichukua fomu na kurudisha ya kuwania nafasi ya kiti cha Udiwani kata ya Kwamndolwa


Pichani ni Mjumbe wa mkutano Mkuu CCM taifa,Mjumbe kamati ya wazazi Utekelezaji Mkoa wa Tanga na katibu Mwenezi CCM tawi la Kwameta na katibu wa vijana kata ya Kwamndolwa,Asia Ally Kingongo Mara baada ya kuchukua fomu na kurudisha ya kuwania nafasi ya kiti cha Udiwani kata ya Kwamndolwa akiwa na familia yake.

ZOEZI LA MTANGAZAJI WA REDIO UHURU,REHEMA LUSEWA KUCHUKUA NA KURUDISHA FOMU KUWANIA KITI CHA UDIWANI VITI MAALUM ILIKUWA HIVI,,,


Picha mkono wa kulia ni Mjumbe wa baraza la UWT Korogwe Mji na Mtangazaji nguli wa ITV na Uhuru redio ya chama cha Mapinduzi CCM,Rehema Lusewa akichukua fomu ya kuwania nafasi ya Udiwani viti maalum Korogwe mjini kwa Katibu wa UWT Korogwe mjini,Suzan Mandia (mkono wa kulia). 


Picha mkono wa kulia ni Mjumbe wa baraza la UWT Korogwe Mji na Mtangazaji nguli wa ITV na Uhuru redio ya chama cha Mapinduzi CCM,Rehema Lusewa akirudisha fomu ya kuwania nafasi ya Udiwani viti maalum Korogwe mjini kwa Katibu wa UWT Korogwe mjini,Suzan Mandia (mkono wa kulia). 

Picha mkono wa kulia ni Mjumbe wa baraza la UWT Korogwe Mjini na Mtangazaji nguli wa ITV na Uhuru redio ya chama cha Mapinduzi CCM,Rehema Lusewa akisaini mara baada ya kurudisha.






Sunday, 29 June 2025

CHRISTINA AJITOKEZA KUCHUKUWA FOMU KUWANIA NAFASI YA UDIWANI VITI MAALUM,,,


 Picha mkono wa kulia ni Christina Fransis Kabelwa akichukua fomu ya kuwania nafasi ya Udiwani Viti maalum Korogwe vijijini kwa Katibu wa UWT Korogwe vijijini,Nuru Jacob Mwaibako.

ZOEZI LA SHEKAONEKA KUCHUKUA FOMU KUWANIA KITI CHA UBUNGE KOROGWE VIJIJINI LILIKUWA HIVI,,,,,,,

Picha ni Mwenyekiti mstaafu wa UVCCM mkoa wa Mbeya mjini na Katibu elimu malezi na mazingira mkoa wa Mbeya,Ramadhani Mahmud Shekaoneka akichukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge kwa Karibu wa CCM wilaya ya Korogwe vijijini,Safina Alfred Nchinbi ambaye ni (mwanamke mkono wa kushoto). 

 


Picha ni Mwenyekiti mstaafu wa UVCCM mkoa wa Mbeya mjini na Katibu elimu malezi na mazingira mkoa wa Mbeya,Ramadhani Mahmud Shekaoneka akisaini mara baada ya kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge.
Picha ni Mwenyekiti mstaafu wa UVCCM mkoa wa Mbeya mjini na Katibu elimu malezi na mazingira mkoa wa Mbeya,Ramadhani Mahmud Shekaoneka akichukua mara baada ya kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge nje ya ofisi hizi akionyeshwa kwa wasindikizaji wake.


Picha ni Mwenyekiti mstaafu wa UVCCM mkoa wa Mbeya mjini na Katibu elimu malezi na mazingira mkoa wa Mbeya,Ramadhani Mahmud Shekaoneka akichukua mara baada ya kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge nje ya ofisi hizi akionyeshwa kwa wasindikizaji wake na.akiwa na miongoni mwa wasindikizaji wake.


Picha  Mwenyekiti mstaafu wa UVCCM mkoa wa Mbeya mjini na Katibu elimu malezi na mazingira mkoa wa Mbeya,Ramadhani Mahmud Shekaoneka mara baada ya kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge akipewa maelekezo na taratibu za chama hicho kwa Katibu wa CCM wilaya ya Korogwe vijijini,Safina Alfred Nchinbi ambaye ni (mwanamke mkono wa kushoto). 


Picha ni Mwenyekiti Mstaafu wa UVCCM mkoa wa Mbeya mjini na Katibu elimu malezi na mazingira mkoa wa Mbeya,Ramadhani Mahmud Shekaoneka mara baada ya kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge akipewa maelekezo na taratibu za chama hicho kwa Katibu wa CCM wilaya ya Korogwe vijijini.


ZOEZI LA KUCHUKUA FOMU LILIKUWA HIVI,,,AMINA MAGOGO AJITOKEZA KUWANIA NAFASI YA UBUNGE JIMBO LA KOROGWE VIJIJINI,,

Picha mkono wa kulia ni Amina Magogo akipokea fomu ya Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Korogwe vijijini kwa Karibu wa CCM Korogwe vijijini,Safina Alfred Nchinbi mkono wa kushoto leo katika ofisis za chama hicho.
 
 Picha ni Amina Magogo mara baada ya kuchukua fomu ya Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Korogwe vijijini akiionyesha kwa wasindikizaji nje mara baada ya kuchukua. 











Picha ni Amina Magogo mara baada ya kuchukua fomu ya Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Korogwe vijijini akiwa kwenye picha ya pamoja na wasindikizaji wake. 



Picha ni Amina Magogo mara baada ya kuchukua fomu ya Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Korogwe vijijini akieleza amejipanga kuwatumikia wananchi wa Korogwe vijijini nje ya ofisi za CCM baada ya kuchukua.